UCHAVUSHAJI KWA KUTUMIA NYUKI

“Utumiaji wa madawa usiofuata ushauri katika kuwalinda wadudu muhimu wa uchavushaji ni moja ya sababu ya wakulima wengi kukosa mavuno ya kutosha hali inayopelekea hasara kubwa katika shughuli zao za kilimo” Musiba Paul Kitema-MD,Tanzania International Bee