
WAUZAJI WA ASALI TANZANIA WASHAURIWA...
JAMBO ASALI ni asali bora ambayo imeendelea kufanya vizuri kwenye masoko ya ndani na Nje ya Tanzania, Pamoja na kufanya vizuri, wauzaji na wazalishaji wa asali Tanzania wanapaswa kuzingatia usalama wa asali zao kwa walaji. Mlaji au mtumiaji wa asali anatakiwa kuwa na uhakika na usalama wa asali anayo tumia . Jambo asali ni moja ya kampuni...