info@tanzaniainternationalbee.com | +255688579858
News

KAMATI YA KITAIFA YA MAENDELEO YA UFUGAJI NYUKI IMETEMBELEA MAKAO MAKUU YA TIBCO

Author

By Admin

February, 21 2023

Research photo
Kamati ya kitaifa ya maendeleo ya ufugaji wa nyuki NABAC imetembelea leo katika ofisi za TANZANIA INTERNATIONAL BEE kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa na kampuni katika kukuza sekta ya ufugaji wa nyuki nchini

You Might Also Like

More articles from Tanzania International Bee