info@tanzaniainternationalbee.com | +255688579858
News

WAUZAJI WA ASALI TANZANIA WASHAURIWA KUZINGATIA USALAMA WA ASALI KWA WALAJI

Author

By Admin

December, 11 2024

Research photo
JAMBO
ASALI ni asali bora ambayo imeendelea kufanya vizuri kwenye
masoko ya ndani na Nje ya Tanzania, Pamoja na kufanya vizuri, wauzaji na
wazalishaji wa asali Tanzania wanapaswa kuzingatia usalama wa asali zao kwa
walaji.

Mlaji
au mtumiaji wa asali anatakiwa kuwa na uhakika na usalama wa asali anayo tumia .
Jambo asali ni moja ya kampuni ambayo imekuwa msitari wa mbele kuhakikisha
mlaji au mtumiaji wa asali anakuwa na uhakika wa asali hiyo pindi anapo inunua.
Kupitia mfumo maalumu wa ufuatiliaji, mlaji wa asali anaweza kufuatilia
mnyororo mzima wa asali hadi inapomfikia mezani kwake. Ata hivyo mamlaka
balimbali nchini zinaendelea kusimamia ubora na usalama wa asali kwa mlaji ili
kuweza kukuza zaidi biashara za asali bila kuathiri afya za wateja.

You Might Also Like

More articles from Tanzania International Bee